Friday, 13 November 2015

WOLPER ADAIWA KUIKACHA SANAA KWA MUDA

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Jacqueline Wolper

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Jacqueline Wolper, anadaiwa kuikacha sanaa ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita katika shughuli za kisiasa.

Taarifa zinadai kuwa Wolper kwa sasa amekolea kweye mambo ya siasa na kuona kama amekuwa akipoteza muda mwingi kwenye tasnia ya sanaa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment