Tuesday, 10 November 2015

MKUU WA WILAYA YA MBEYA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA MAMLAKA YA MAJI


MKUU wa wilaya ya Mbeya, Nyerembe Sabi Mnasa, amefanya ziara ya kushtukiza leo asubuhi katika Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Jijini Mbeya na kutaka wateja wote kuingizwa katika mfumo wa kompyuta.

Wakifurahia ujio wake, wafanyakazi wa mamlaka hiyo wamesema amewaongezea nguvu na hali ya kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu katika awamu hii ya Hapa Kazi Tu.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment