Thursday, 19 November 2015

DK MAGUFULI AMTEUA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUURAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amemteua kuwa Waziri Mkuu aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Kassim Majaliwa.

Majaliwa alizaliwa Desemba 22, 1960. Ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye amekuwa mbunge wa jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi toka mwaka 2010.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment