Tuesday, 13 October 2015

PASCHAL MABITI AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Paschal Kulwa Mabiti amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani.

Uthibitisho wa kifo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Simiyu Elaston Mbwilo .

Mkuu huyo wa mkoa ambaye alikuwa katika likizo ya ugonjwa alifariki nyumbani kwake Dar es salaam na anatarajiwa kuzikwa kesho kutwa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment