Monday, 12 October 2015

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA KISHINDO MWANZAName:  1.jpg
Views: 0
Size:  80.9 KB

Name:  2.jpg
Views: 0
Size:  67.8 KB

Baada ya kupata mapokezi makubwa mkoani Mara, mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameingia jijini Mwanza kwa kishindo . Akiwa Mwanza, Lowassa anatarajia kufanya mikutano jimbo kwa jimbo

Reactions:

0 comments:

Post a Comment