Wednesday, 9 September 2015

MOTO WATEKETEZA VIBANDA VYA BIASHARA MAFINGA


Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza vibanda vya biashara katika eneo la Mambo ya Tanga Mjini Mafinga Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa usiku wa kuamkia, leo.

Wakazi wa eneo hilo wamesema moto huo mkubwa ulishindikana kuzimwa ikiwa ni matokeo ya wilaya hiyo kukosa gari la kuzimia moto.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment