Thursday, 20 August 2015

NYALANDU ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE SINGIDA KASKAZINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akichukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Singida, Faridda Mwasumilwe katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya hiyo, juzi. 


Reactions:

0 comments:

Post a Comment