Thursday, 27 August 2015

MOTO WATEKEZA NYUMBA NA KUUA TISA WA FAMILIA MOJA BUGURUNI

Name:  11220139_1301905206490561_7550675739083370211_n.jpg
Views: 1204
Size:  106.0 KB

Name:  11949362_1301905209823894_7979857288578398561_n.jpg
Views: 1230
Size:  107.6 KB

Watu 9 wanasadikiwa kufariki katika ajali ya moto baada ya nyumba moja iliyopo eneo la Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam kuteketea kwa moto.

Inaelezwa kuwa Baba wa familia hiyo amenusurika kwa kuwa hakuwepo nyumbani wakati moto huo ulipozuka.

Waliofariki katika ajali hiyo ni familia ya watoto wanne, mama, mama mkwe, ndugu na mtoto wa ndugu wa familia hiyo.

Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea bongoleaks


Reactions:

0 comments:

Post a Comment