Wednesday, 12 August 2015

MASILINGI BALOZI MPYA NCHINI MAREKANI


Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Jakaya Kikwete amemteua Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani kuziba nafasi ya aliyekuwa Balozi wa  nchi hiyo Liberata Mulamula.

Balozi atakayeiwakilisha Tanzania nchini Marekani ni Wilson  Masilingi aliyekuwa  Bolozi wa Tanzania nchini Uholanzi.


Katika hatua nyingine, Liberata Mulamula ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment