Friday, 7 August 2015

BILIONEA WA MUFINDI ALIYEANZA KUWEKEZA KWA MTAJI WA SH 1,200


MZEE huyu, baba wa familia ya wake watatu na watoto 22 wa mjini Mafinga mkoani Iringa, Matekeleza Chang’a; mwaka 1975 alitumia Sh 1,200 zilizotokana na biashara ya pombe aliyokuwa akiifanya mkewe kufanya uwekezaji na sasa uwekezaji wake huo una thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 15.

Jambo la kusikitisha ni kwamba pamoja na uwekezaji wake huo mkubwa, baadhi ya benki nchini zimeshindwa kumkopesha Sh Bilioni 2 tu alizozihitaji kwa ajili ya gharama za uendeshaji katika uwekezaji huo…


Makala hii tamu na ya kuvutia itakujia hivi punde, endelea kuwa nasi……………

Reactions:

0 comments:

Post a Comment