Thursday, 1 January 2015

RAIS KIKWETE NA FAMILIA YAKE WALIVYOUKARIBISHA MWAKA KIJIJINI KWAKE MSOGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge  wa
Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika
kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa  Mashekhe
wa Bagamoyo na wananchi  kwa kumuandalia  hafla ya kumuombea dua
katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa  Mashekhe
wa Bagamoyo na wananchi  kwa kumuandalia  hafla ya kumuombea dua
katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani

Reactions:

0 comments:

Post a Comment