Tuesday, 6 January 2015

DOKTA HARISON MWAKYEMBE ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE WA NDULI IRINGA


WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harison Mwakyembe leo amefanya ziara ya siku moja mjini Iringa; ziara aliyoitumia kutembelea uwanja wa ndege wa Nduli, Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa na kufanya mkutano wa wadau wa sekta ya usafirishaji.

Mengi yamejitokeza katika ziara hiyo.


Taarifa zaidi kuhusiana na ziara hiyo, itakujia kupitia mtandao huu mapema kesho

Reactions:

0 comments:

Post a Comment