Saturday, 10 January 2015

AWEKA HADHARANI NIA YAKE YA KUMNG'OA MBUNGE WA MUFINDI KUSINI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU


HUKU kukiwepo na tetesi za kurudi au kutorudi kwa mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mendard Kigola, baadhi ya wanasiasa wanaolimendea jimbo hilo wameanza kutangaza nia.

Creptone Ignas wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amekuwa mwanasiasa wa kwanza kutangaza nia hiyo.

Mtandao huu unaendelea kufuatilia kwa karibu siasa za jimbo hilo na hivikaribuni, utaanza kukuletea mambo mbalimbali yanayoendelea kujiri kwenye majimbo mbalimbali ya uchaguzi katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu

Reactions:

0 comments:

Post a Comment