Wednesday, 31 December 2014

MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA ALIYEJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI KISUTU APIGWA RISASI


Maofisa wa Polisi na Magereza wakiangalia mwili wa mtu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya dawa za kulevya na kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam saa 2:00 asubuhi ya leo. 

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinapasha kuwa mwili wa marehemu huyo ambaye bado jina lake halijatambulika umepelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Muhimbili. 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment