Tuesday, 4 November 2014

NUKUU YA LEO TOKA KWA MZEE NDIMARA TEGAMBWAGE..."HII NI KALENDA YA ANGUKO KAMA SIO LEO, BASI KESHO."


“Hawana hadhi tena ya kututawala au hata kudai kutaka kututawala. Hustahili kukimbia hoja/akili kwa kutumia ngumi, mawe na rungu. Hii ni kalenda ya anguko - kama siyo leo, basi kesho.


Gwiji na Mshauri wa Habari Ndimara Tegambwage amenukuliwa katika ukurasa wa mabadiliko alipokuwa akichangia tukio la Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba kufanyiwa vurugu.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment