Wednesday, 29 October 2014

PSPF YATOA MSAADA WA BATI 300 MKOANI IRINGA

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Evalista Kalalu akitoa mkono wa shukrani wakati akipokea bati hizo kutoka kwa mwakilishi wa PSPF Mkoa wa Iringa, Baraka Jumanne
MFUKO wa Pensheni ya Watumishi wa Umma (PSPSF) umetoa msaada wa mabati 300 yenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni sita katika wilaya za Kilolo na Mufindi, mkoani Iringa.


Wakati wilaya ya Kilolo imepata bati 200 zitakazotumika kusaidia kukamilisha ujenzi wa maabara unaoendelea  katika shule zake za sekondari, Chuo cha Ualimu Mufundi kilichopo mjini Mafinga wilayani Mufindi kimepata bati 100.

habari kamili itakujua kesho...........................

Reactions:

0 comments:

Post a Comment