Friday, 24 October 2014

NUKUU YA WIKI "NI MATUSI KUAMBIWA NIKO NYUMA YA LOWASSA KATIKA MBIO ZA URAIS"

Januari Makamba
NI matusi makubwa kuambiwa niko nyuma ya Lowassa katika mbio hizi za urais.


“Mimi ni mtu mzima, nina utashi wangu, nina familia yangu, nina mke na watoto, ni kiongozi wa jimbo, nina nyadhifa serikali na kwenye chama, kuniambia mimi nafanya jambo fulani kwasababu ya mtu fulani ni matusi makubwa sana na naomba niombwe radhi,” Januari Makamba alisema

Reactions:

0 comments:

Post a Comment