Monday, 27 October 2014

NUKUU YA LEO TOKA KWA DIWANI TENGA "WAZAZI TUMEKUWA SEHEMU YA KUHARIBU TABIA ZA WATOTO WETU."

Diwani Tenga
WAZAZI tumekuwa sehemu ya kumong’onyoa maadili kwa watoto wetu. Tunaona furaha kuwaruhusu kufanya mambo yanayoharibu tabia zao. Tunawaruhusu kwenda bar, kulewa na kukesha kwenye madisco.”


Diwani wa Kata ya Makorongoni, Tadeus Tenga aliyasema hayo juzi kwenye mahafali ya 25 ya shule ya sekondari Mwembetogwa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment