Sunday, 26 October 2014

MKUTANO WA HADHARA WA UKAWA UNAENDELEA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAMKATIKA mkutano huo vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitaingia makubaliano ya ushirikiano.

Kwa kupitia makubaliano hayo vyama hivyo vinatarajia kusimamisha mgombe mmoja mmoja katika nafasi zote za kuchaguliwa vikianzia na uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment