Wednesday, 29 October 2014

DHAMANA YA CHID BENZ HII HAPA

Chid Benz
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’ amepata dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande


alipokuwa hajakamilisha taratibu hizo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment