Friday, 31 October 2014

ASHITAKIWA BAADA YA KUFANYA MAPENZI NA MBWA


Saa chache baada ya kupata stori kutoka Kenya iliyohusiana na mtu mmoja kukamatwa akituhumiwa kumbaka kondoo, mwingine tena ameingia kwenye headline baada ya kukamatwa kwa kosa la kumbaka mbwa.
Hii inatoka Miami, Florida ambapo jamaa mmoja Jonnie Boggess mwenye umri wa miaka 47 alikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ukatili dhidi ya wanyama baada ya kufanya mapenzi na mbwa.
Akijitetea kutokana na kufanya kosa hilo, Boggess amesema alikuwa sahihi kufanya mapenzi na mbwa huyo kwa kuwa mbwa alikuwa amefikia uzito wa kilogramu 19, na alifanya kitendo hicho ‘polepole’ na haikuwa mara kwanza kufanya hivyo kwa kuwa anampenda sana mbwa wake huyo.
Muda mfupi baadaye jamaa huyo alianza kujutia alichokifanya na kudai haikuwa akili yake ila ni kwa sababu ya pombe, kitu ambacho majirani zake walikanusha na kusema kuwa hiyo ilikuwa kawaida ya jamaa kufanya mapenzi na mbwa.
chanzo;millardayo.com

Reactions:

0 comments:

Post a Comment