Friday, 5 September 2014

WATU ZAIDI YA 30 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA MAPEMA LEO MKOANI MARAZAIDI ya watu 30 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Sabasaba Musoma, mkoani Mara.


Ajali hiyo iliyotokea asubuhi ya leo imelihusisha basi la M
WANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J.4 Express T677 CYC.

Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma mjini.

R.I.P All na poleni sana wote mliofikwa na msiba huo

Reactions:

0 comments:

Post a Comment