Wednesday, 27 August 2014

MANCHESTER UNITED YANG'OLEWA CAPITAL ONE, YADUNDWA 4-0


Manchester United usiku wa kuamkia leo imeng’olewa katika mashindano ya Capital One baada ya kuduguliwa kwa mabao 4-0 na timu ya MK Dons inayoshiriki league one ya Uingereza mbele ya meneja wao mpya Luis van Gaal na mashabiki wake zaidi ya 6,000 waliosafiri hadi uwanja wa timu hiyo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment