Saturday, 30 August 2014

FREDERICK MWAKALEBELA AINGIA MATATANI, ATUHUMIWA KUFANYA UDANGANYIFU

Frederick Mwakaleba
HABARI zilizoifikia BONGO LEAKS hii leo, ambazo hata hivyo hazijathibitishwa na Frederick Mwakalebela mwenyewe zinaonesha yuko matatani.

Mwakalebela anatuhumiwa kujipatia mamilioni ya fedha kwa njia ya udanganyifu toka kwa nyota mmoja wa soka nchini (jina linahifadhiwa kwa sasa).

Taarifa kamili kuhusiana na skendo hiyo ambayo Mwakalebela mwenyewe amekuwa akitafutwa bila mafanikio kwa lengo la kuzifafanua zitachapwa Jumatatu Septemba 1, 2014.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment