Sunday, 13 July 2014

MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA IKIELEKEA UKINGONI, TYSON AIBUKA NA KUUNGA MKONO KITENDO KILICHOFANYWA NA LUIS SUAREZ

Then and Now: Luis Suarez and Mike Tyson in their respective biting incidents


BONDIA Mike Tyson ameunga mkono kitendo cha nyota wa kandanda Luis Suarez cha kumng’ata mchezaji mwenzake uwanjani akisema ni tukio la kawaida katika mchezo wenye shinikizo kubwa.

Suarez anayatarajiwa kujiunga na Barcelona kwa dau la Pauni Milioni 75 alimng’ata sikio mlinzi wa Italia Giorgio Chiellini katika michuano ya kombe la Dunia.

Tyson anaunga mkono tukio hilo akikumbuka tukio lake la kung’ata na kumega kipande cha sikio alilomfanyia bondia mwenzake Evander Holyfield mwaka 1997.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment