Sunday, 29 June 2014

UNAWAKUMBUKA HAWA? KUSHOTO MBELE NI ADOLPH MBATA WA TBC KATAVI NA MAKAMANDA WENGINE.....

Mbele kushoto ni mwandishi na mtangazaji wa televisheni ya Taifa (TBC) huko mkoani Katavi, Adolph Mbata, nyuma yake mwisho ni Eliasa All wa Majira, mwenye sweta lenye mistari ni Shabani Boki Mweka Hazina Msaidizi wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa, mwenye kofia ni mzee mkongwe katika tasnia Fulgance Malangalila na pembeni yake ni Said Ng'amilo ambaye kwasasa ni mpiga picha wa gazeti la Mwananchi Iringa. Picha hii ilipigwa miaka nane iliyopita

Reactions:

0 comments:

Post a Comment