Monday, 2 June 2014

TUMETIA TIMU HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA NA KAMA KAWAIDA TUKAKUTANA NA MAAJABU HAYA

MTO RUAHA MKUU, HUU NI MUHIMU KWA WANYAMA HIFADHINI LAKINI PIA MAENDELEO YA NCHI KWANI MAJI YAKE HUTUMIKA KUZALISHA UMEME KATIKA BWAWA LA MTERA

KIANGAZI KIMEANZA HAKUNA MWENYE UHAKIKA KAMA MTO HUU UTATIRISHA MAJI YAKE MSIMU MZIMA

TEMBO NU MNYAMA MKALI, LAKINI WAKATI MWINGINE NI RAFIKI MZURI WA MAZINGIRA TULIYOMO, HAPA HANA WASIWASI AKIWA JIRANI KABISA LA JENGO LINALOTUMIKA KWA SHUGHULI ZA BINADAMU

KUNDI LA TEMBO

TEMBO WANAZIDI KULINDWA


Reactions:

0 comments:

Post a Comment