Monday, 2 June 2014

MWANAHABARI YONA MGAYA WA FURAHA FM IRINGA AJITOA MHANGA, APIMA AFYA YAKE

SIOGOPI BWANA WE PIMA TU LIAWALO NA LIWE, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA WAKATI MWANAHABARI HUYU KIJANA ALIVYOJITOKEZA KUPIMA AFYA YAKE (VVU) KUPITIA KAMPENI YA AFYA YA UZAZI NI HAKI YA KIJANA TUITEE. KAMPENI HIYO INAENDESHWA NA SHIRIKA LA AMREF

Reactions:

0 comments:

Post a Comment