Thursday, 22 May 2014

TFDA YAHAMASISHA WAHARIRI NA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KUHUSU USIMAMIZI WA SHERIA YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI YA MWAKA 2003 JIJINI MBEYA


Wakongwe Peti Siyame wa Sumbawanga na Frank Leonard wa Iringa

Mmoja wa wawezeshaji wa TFDA,  Chary Ugullum ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TFDA na Mkurugenzi wa Huduma za Maabara wa taasisi hiyo
wanahabari kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa
Usikivu ulikuwepo


Walikuwepo walioona umuhimu wa kuchukua kilichokuwa kikiwasilishwa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment