Tuesday, 27 May 2014

TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI,JIJINI MWANZA,


Moderetor wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Ayub Rioba akitoa maelekezo wakati wa kongamano hilo linalofanyika katika hotel ya JB Belmont jijini Mwanza.
Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi ya Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali ya habari nchini linalofanyika jijini Mwanza.
Kaimu mkurugenzi mkuu waTANAPA ,ambaye pia ni mkurugenzi wa Utalii na Masoko Ibrahim Musa akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa TANAPA ,Allan Kijazi katika kongamano hilo.
Mgeni rasmi katika kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchi ,katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii ,Maimuna Tarishi akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa kongamano hilo linalofanyika jijini Mwanza.
Baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia hotuba pamoja na mijadala mbalimbali inayo endelea katika kongamano hilo.
Baadhi ya wahariri pamoja na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchi wakifanya utambulisho katika kongamano hilo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment