Saturday, 26 April 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA


1
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka April 26 kusheherekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar
2
Alipokuwa akiingia
3
Rais Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama
5
Vikosi vya ulinzi na usalam
4
Akikagua vikosi hivyo
7
Akirejea jukwa kuu mara baada ya kukagua gwaride
8
Akisalimiana na Rais Yoweri Museni wa Uganda, katikati ni Kingi Mswati wa Swaziland na kushoto ni Rais Piere Nkurunziza wa Burundi
9
Akisalimia na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya, katikati ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi
10
Akizungumza na Rais Uhuru Kenyata 
11
Wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
14
Marais mbalimbali katika pozi jukwaani
15
Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zamboia, Rupia Banda katikati ni Rais Mstaafu wa Namibia Dk Sam Nujoma
16
Rais Nkurunzinza akisalimia na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kushoto ni Rais Mstaafu wa Zambia Rupia Banda
17
Uhuru Kenyata na Piere Nkurunzinza
18
Yoweri Museveni na Dk Sam Nujoma
19
Rais wa Malawi Joyce Banda akiwasili uwanja wa Uhuru
20
Nicholas Mbaga wa TBC akiwa kazini
 
3
Kikosi cha Makomandoo kikionesha ukakamavu wake wa Rais Kikwete
4
Kikionesha uwezo wake katika mapambano
5
Wakionesha mbinu za kupambana na maadui
6
Zana za Kivita zilioneshwa pia
7
Kifaru
9
Kifaru kikipita mbele ya wanahabari
10
Kifaru kikipita mbele ya mamia ya wananchi waliohudhuria
11
Makombora mzito
13
Makombora ya kutungulia ndege
14
Askari wa miavuli wa JWTZ
       
15
Askari wa miavuli wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
16
Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu
17
Rais akiwapomngeza askari hao
18
Vijana wa pikipiki
19
Vijana wa halaiki
20
Maumbo mbalimbali na vijana wa halaiki

Reactions:

0 comments:

Post a Comment