Tuesday, 11 March 2014

WANAWAKE 70 WABAKWA KATIKA KIPINDI CHA MIEZI MIWILI MKOANI MBEYA


RPC Msangi


UCHU wa ngono na imani za kishirikina zimepelekea zaidi ya wanawake 70 kubakwa mkoani Mbeya katika kipindi cha Januari na Februari, mwaka huu.

Wakati wanawake hao wakibakwa, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahamed Msangi ameripoti kuwepo na taarifa za  vitendo vya ulawiti katika kipindi hicho.

Msangi amesema wakati mwezi Januari kulikuwa na vitendo sita vya ulawiti, mwezi Februari kulikuwa na vitendo vitano.

Credit; kalulunga blog

Reactions:

0 comments:

Post a Comment