Saturday, 8 March 2014

TIGO YAFUNGUA OFISI YA HUDUMA KWA WATEJA WAKE MJINI NJOMBE

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba akizindua duka la huduma kwa wateja la kampuni ya simu za mkononi ya TIGO mjini Njombe; anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa TIGO Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga

Hapa Meneja wa Huduma kwa Wateja wa TIGO, Charles Gardner akitoa maelezo wa mkuu wa wilaya huyo jinsi duka hilo litakavyotoa huduma

Akimuonesha sehemu ambayo wateja wao wanaweza kupata huduma ya manunuzi ya simu za aina mbalimbali

hii ni sehemu nyingine ya kutolea na kushughulikia huduma kwa wateja

Akielezwa jinsi watoa huduma wao wanavyotakiwa kuwajibika kwa wateja

Na baada ya maelezo mengi ya huduma, Gardner na Kiswaga walimshutukiza mgeni rasmi kwa kumpa zawadi

Ndani ya boksi lile, Kiswaga akatoa simu mpya ya kisasa kabisa na kumkabidhi kama zawadi mkuu huyo wa wilaya 
Duka lenyewe linavyoonekana kwa nje

Reactions:

0 comments:

Post a Comment