Thursday, 6 March 2014

KAMATAKAMATA YA WAFANYABIASHARA WASIO NA LESENI YAENDELEA MJINI IRINGA

Fundi cherehani, naye anatakiwa kuwa na leseni ya biashara

Akiingizwa ndani ya gari la Polisi

Wengine walijihami na kufunga maduka yao mapema

Hawa hawakutaka shari, walifunga milango yao na kusikilizia kilichokuwa kikiendelea

Mmoja wa wafanyabiashara wa eneo hilo la Kihesa alifungiwa ndani ya duka lake   

Huyu ni dada aliyefungiwa pamoja naye katika duka hiloReactions:

0 comments:

Post a Comment