Saturday, 1 March 2014

HIVI NDIVYO CCM NA MGOMBEA WAO GODFREY MGIMWA WALIVYOPOKELEWA KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO KALENGA KATA YA NZIHI

 

Hapa alikuwa akisalimiana na wananchi wa Ilalasimba
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga akimnadi Godfrey Mgimwa katika kijiji cha Ilalasimba, kata ya Nzihi
Umati wa watu unavyoonekana kwa nyuma

Umati wa watu katika kijiji cha Ilalasimba
Hapa ilikuwa katika kijiji cha Magubike, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba akimtambulisha mmoja wa watu walioathiriwa na vurugu za Chadema huko Kahama, Alphonce John

Nchemba akisisitiza umuhimu kwa wananchi wa Kalenga kujaza nafasi ya ubunge katika jimbo hilo kwa kumchagua Godfrey Mgimwa
Huyu anayezungumza ni Musa Tesha naye yasemekana alimwagiwa Tindikali na wafuasi wa Chadema wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Igunga

Hapa Mwigulu akimalizia kwa kuwataka wananchi watakaompigia kura Mgimwa wanyoshe mikono juu

Reactions:

0 comments:

Post a Comment