Wednesday, 26 February 2014

UNDP YATOA MSAADA WA GREDA NA MAGARI MATATU TANAPA

Greda na magari matatu aina ya Toyota Land Cruiser yaliyotolewa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia Mradi wa Kuimarisha Mtanao wa Maeneo ya Hifadhi Kusini mwa Tanzania (SPANEST) kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) 


Dk Ezekiel Dembe akipanda katika greda hilo na akarijaribu kama linafanya kazi

Greda hili litatumika kutengeneza barabara za hifadhi 
hii ni moja ya barabara ndani ya hifadhi ya Ruaha 
Magari haya ni kwa ajili ya doria (kuimarisha ulinzi) katika hifadhi ya Ruaha na Kitulo
Tembo ni mmoja wa wanyama anayetakiwa kulindwa sana kutokana na umuhimu wake 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment