Tuesday, 25 February 2014

KUELEKEA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA, MGIMWA KUPIGA MIKUTANO MINNE KILA SIKU, RATIBA HIYO IMEANZA LEO KATA YA KIWELE

Mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa akiwasili katika kijiji cha Mgera hii leo

Akiwapokea baraka kutoka kwa wazee

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa, Delfina Mtavilalo akimnadi

Sehemu ya umati uliojitokeza Kiwele

Hapa ni nderekondereko, kijiji cha Mfyome

Kila aliyeshiriki mkutano wake alitaka kusalimiana naye

Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu akimnadi

Akishiriki kuonesha umahiri wa kucheza ngoma ya kihehe

Mpeni kura za Ndio
Akiwashukuru wapiga kura kwa kumsikiliza

Kisela, akisalimiana na kijana mwenzake

Mzee, nitatumia busara zenu katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hili

Usikuvu kila alipokwenda

Hapa ni Lundamatwe

Viongozi wa CCM walikuwepo pia kumpa company

Tutakuschagua, ndivyo walivyokuwa wakisema 

Ni baada ya kuelewa sera zake

Umeeleweka bwana,

Nawashukuruni sana

Najua matatizo yanayoikabili kata hii; ni maji, umeme, barabara na mawasiliano, nipe kura nimalizie pale alipoishia Dk William Mgimwa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment