Wednesday, 29 January 2014

JUMA NGASONGWA ANUSURIKA KUFA KATIKA AJALI KIBAHA

Mh Juma Ngasongwa aliyepata kuwa mbunge na waziri wa serikali zilizopita, amenusurika kifo katika ajali iliyo tokea jana jioni Kibaha Picha ya ndege Mkoani Pwani pichani anaonekana Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Dr Loti Kiwelu akimjulia hali katika Hospitali ya Tumbi Kibaha alipo fikishwa kwa ajili ya huduma ya kwanza ambapo alihamishiwa katika Hosipitali ya Muhimbili MOI kwa ajili ya matibabu zaidi

Ajali hiyo ilihusisha gari  aina ya Rav 4 mali ya Ngasongwa ambaye alikuwa akiendesha mwenyewe kutoka jijini Dar es salaam kuelekea morogoro ambapo kwa mujibu wa Ngasongwa alichomekewa na lori la Tanesco (picha na Chris Mfinanga)
Roli linalodaiwa kusababisha ajali hiyo

Hii ndio gari ya Dk Ngasongwa aliyopata nayo ajali

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akimjulia hali Dk Ngasongwa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment