Saturday, 1 February 2014

JIONEE MWENYEWE MAISHA YA SASA YA BABU WA LOLIONDO

Gari anayoimiliki babu aina ya Landcruiser anayoimiliki baada ya kikombe alichokitoa kwa wananci
Nyumba yake ya sasa Mara baada ya kuwahudumia Watanzania kwa kikombe.
 

Hii ni nyumba aliyokuwa anaishi Babu Ambikile kabla Dozi ya Kikombe haijachanganya
Credit: Lewis Mbonde.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment